ANNE KANSIIME SASA ANNE KANSIIME OJOK - Arnold Kayanda
Tuesday

Juzi tarehe 12 Oct 2013 kupitia Ukurasa wake wa Facebook Anne aliandika "By the end of today, I'll be a traditionally married woman. Kuhingira is on today. Jittery but super excited. Ruhanga webale. #love #Kabale" Watu wakajua ni utani wake. Tarehe 13 ikapita kimya kisha hamadi tarehe 14 akaweka picha hizi akiwa tayari ameolewa.