KONDOO WA MADONNA
Kwa wale wanaomfuatilia Madonna na vituko vyake mtakumbuka namna alivyozua gumzo pale alipovua nguo ya ndani stejini na kuwarushia Mashabiki kiasi cha kusababisha vurugu kubwa kwa walioigombea lakini pia atakumbukwa alipozua gumzo baada ya kuingia malumbano na wanaotetea haki za wanyama pale alipowapaka rangi Kondoo wake.