PROMO YA FITNESS FIRST - Arnold Kayanda
Monday

Hapa ni mahali pa kusubiria Usafiri. Fitness First ni Health Club kubwa Duniani.Ina Clubs zipatazo 540 Dunia nzima ikihudumia zaidi ya wanadamu Milioni mona katika nchi 21. Una Kilo ngapi?