PROMO YA JEEP - Arnold Kayanda
Monday

Jeep ya kwanza ilikamilika mwaka 1941 likiwa ni Gari la Jeshi la Marekani. Miaka minne baadae Raia tukaruhusiwa kuyatumia. Udogo wake unafaa.