SCHUMACHER DEREVA WA MAGARI YA MWENDO KASI FORMULA ONE APATA AJARI MBAYA - Arnold Kayanda
Monday

 Huyu ndo Michael Schumacher Dereva wa magari yaformula one aliyepata ajari jumapili wakati alipokuwa
akicheza mchezo wa kutereza kwenye barafu baada ya kujigonga kwenye mwamba iliyosababisha majeraha makari kichwani mwake ingawa inasemekana alikuwa amevaa helmet
Manager  Jean Marc Grenier akiongea na waandishi wa habari kuhusu ajari aliyoipata michael

 Hii ndo hospital alokimbizwa haraka baada ya ajari kutokea
 Hii ndo private chopper ilosaidia kumkimbaza  Michael hospital

 Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa mwaka 2005 alipokuwa akicheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu