
Mahusino ya Diamond na Wema yameonekana kurudi kwa kasi hasa baada ya party iliyofanyika December 25 pale Leaders iliyowahusisha watoto mbalimbali kusherehekea Xmass na watoto wenzao ndipo kulipoonesha kuchipua upya kwa mahusiano hayo.
Katika
siku hiyo ya Xmass wakati Diamond akitaka kuanza kuimba wimbo wake wa Ukimuona
alimkatisha Dj na kuwauliza watoto’mimi mchumba wangu nani?’watoto wakawa
wanajibu Wemaaa,Ndipo Diamond akawatangazia watoto kuwa ngoja aje mchumba wake
wamuone alipopanda jukwaani alikua ni Wema Sepetu.
Watoto
walishangilia kuona hivyo sasa pengine walifurahi kuona walichokua wakikitabiri
ni sawa ama walifurahia kuona mahusiano juu ya hao mastar wawili wa Tanzania
yanaendelea,siku za hivi karibuni bado watu wengi wamekua wakiendelea kuzungumzia
uhusiano huo mmoja wapo aliyeamua kupost mpaka kwenye akaunti yake ya Instagram
ni mume wa H.baba bibie Florah Mvungi.
Florah
alipost picha inayomuonyesha Diamond akiwa kwenye pozi la kimahaba na Wema huku
chini akiandika ‘me na mume wangu tunapendana sana but still tunaipenda sana
hii couple iendelee kuwepo.Mungu awajalie mapenzi tele wafike malengo all the
best darlings.
Source www.millardayo.com