Huu ndo muonekano wa hiyo website yao inayotumika kujaza fomu na kila kitu baada ya hapo unapigiwa cm na mwana dada mmoja kwa ajiri ya kutuma kiasi cha pesa ili kuweza kukamilisha zoezi zima la kupewa mkopo wako
ONYO:KUNA UTAPELI UMEANZA KWENYE MITANDAO KUWA MAKINI JITAHIDI KUI SHARE ILI WATU WAELEWE MAPEMA
Ndugu zangu kuwa makini na huu mtandao http://tanzanialoan.wapka.mobi/index.xhtml popote utakapoiona hawa watu ni matapeli wanadai wanatoa mikopo bila liba unajaza fomu zao vizuri baada ya kumaliza unaambiwa utume shillingi 83000/= kwa ajiri ya kukamilisha usajiri wako ukishatuma unaambiwa subiria kama muda wa dakika 30 utumiwe mkopo wako utakao kuwa umeuomba