BAKI NJIA KUU NI UJUMBE ULIOTAPAKAA JIJINI DAR ES SALAAM KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI Huu ni ujumbe uliotolewa kwa aina yake hapa jijini Dar Es Salaam ukiwa kwenye mabango ya aina yake yakielezea kuhusu kuepukana na maambukizi ya VVU