WATU HURU KUTUMIA TWITTER UTURUKI BAADA YA KUFUNGIWA KWA MUDA - Arnold Kayanda
Thursday














Maafisa wa utawala nchini Uturuki wameondoa marufuku ya Twitter baada ya mahakama kutoa uamuzi huo.
Maafisa wamesema kuwa watu wanaweza kuendelea kutumia mtandao huo wa kijamii..
Mahakama iliwaambia kuwa lazima waondoe marufuku hiyo ya wiki mbili kwani inakiuka uhuru wa watu kujieleza.
Itachukua saa kadhaa kwa watu kote nchini humo kuweza kutumia Twitter kikamilifu.
Waziri mkuuu Tayyip Erdogan aliahidi kumaliza Twitter baada ya watumiaji wake kusambaza madai ya ufisadi dhidi yake.