Hii ni baada ya Rais Robert Mugabe kuanguka alipokuwa anatoka kuwahutubia Wananchi wake - Arnold Kayanda
Monday

 Leo vyombo vya habari Zimbabwe vimeripoti kuhusu Rais huyo kuwatimua kazi wafanyakazi 27 kwenye kikosi cha Usalama kwa kushindwa kuwajibika wakati Rais huyo akianguka.

Hili ni gazeti lililochapichwa leo nchin Zimbabwe kuhusiana na walinzi 27 kufukuzwa kazi kwa kinachosemekana walishidwa kumsaidia Rais Mugabe wakati ananguka 
Hii ni Video inayo onesha tukio zima Rais akianguka hadi chini bila ya kujitetea