ALIYEPANGA KUMUUA MZEE MANDELA AHUKUMIWA MIAKA 35 - Arnold Kayanda
Tuesday

Huyu ndiye Mike du Toit kiongozi wa Wanaubaguzi waliopanga njama za kumuua Mzee Mandela,kuwafukuza watu weusi katika Afrika ya Kusini na kuipindua Serikali ya Afrika ya Kusini wakati huo mwaka 2002. Kesi imesikilizwa kwa miaka tisa. Kundi la Boeremag lilikuwa kundi la wazungu waliokuwa wanawabagua weusi.