BONGO MOVIE Tulilazimika kuchelewa kuipost Picha hii ili kusubiri tamko la Ireen Uwoya hasa baada ya Picha ya Jambazi huyu Mstaarabu kutapakaa Mitandaoni na kukosolewa na watu wengi. Tamko halikutoka!