M23 YAILAUMU SERIKALI YA KABILA - Arnold Kayanda
Tuesday

Renee Abandi kiongozi wa Ujumbe wa M23 uliko Kampala kwa ajili ya mazungumzo ya amani ameilaumu Serikali ya Kabila kwa kuvishambulia vikosi vya M23 wakati mazungumzo yanaendelea. Anasema vikosi vya Serikali ya DRC vilivamia eneo linalofahamika kama Amahoro na kumuua Askari mmoja wa M23. M23 imetoa muda kwa Serikali ya Kinshasa kuacha mashambulizi hayo.

Mkuu wa vikosi vya M23 Brigedia Sultan Makenga.