Julius Kanwakaita usiku wa tarehe 26 Mwezi huu wa kumi 2013 alinusurika Kifo baada ya Gari aina ya Mercedes Benz Mali ya Madam Rita kuzimika Barabarani na kisha kuanza kuwaka Moto kama Picha ya Chini inavyoonekana.
Ingawa chanzo cha Moto huo hakijafahamika lakini wazoefu wanadai kuwa siku hizi huenda aina fulani ya Mercedes Benz zina matatizo katika mfumo wake wa umeme kutokana na tabia ya kuanzisha moto katika hali ambayo haijafahamika chanzo chake.










