TASWIRA ZA OPERESHENI PAMOJA DAIMA KILELEMA Makamanda wa Chadema wakiwa ndani ya helkopita wakielekea kwenye Operation pamoja daima kilelema Wananchi wa Kilelema wakisikiliza kutoka kwa makamanda wa Chadema kuhusu msitakabali wa chama