PROMO YA VOLVO - Arnold Kayanda
Thursday

AB Volvo ni Kampuni yenye Makao makuu Gothenburg Sweden. Watengenezaji,wasambazaji ,wauzaji wa Magari na Machine za ujenzi. Ingawa ilianzishwa mwaka 1915 ilianza kutambilika sana Duniani kuanzia 1927 wakati Gari lao la kwanza Volvo OV 4 aka "Jacob" lilipoingia Mtaani. Tangu wakati huo heshima yao juu ya utengenezaji wa Magari bora haikuwahi kushuka. We're just as excited as you.