PROMO YA VW - Arnold Kayanda
Thursday

VW ni kampuni ya magari iliyoanzishwa mwaka 1937 huko Ujerumani. Magari yao yanatambulika kwa kudumu muda mrefu na hata Kifaa chao kinapoharibika wanakushauri kununua kipya na halisi kutoka Kampuni ya VW. Just because it works,doesn't mean it's fixed.