ANNE KANSIIME - Arnold Kayanda
Tuesday

Hujawahi kumwona Anne Kansiime? Basi hujawahi kufika kwenye Kilele cha Kicheko chako. www.promokwanza.blogspot.com imekubaliana nae kuendelea kukuonyesha video zake.

 Ni graduate wa Makerere University.

Kiasili ni Mukiga (Kinyumbani tunasema 'omuchiga') kutoka katika eneo la Kabale Uganda. Anne anasema "Mama alikuwa mkulima wa kila kitu, alilima kila kitu isipokuwa Pipi,Sukari na Mafuta ya kupikia"