Kwa wewe unayefuatilia Movies za Hollywood utakuwa umeshaitizama Django Unchained. Moja ya Soundtracks zilizoipendezesha Movie hiyo ni Freedom iliyoandikwa na kuimbwa na Anthony Hamilton.
Amegonga ngoma na akina Eve akina Jadakiss akina Nick Cannon,2pac,Keyshia Cole,Twista na wengine kibao. Comin' from where i'm comin' ukiitafuta inaweza kukufaa kuenjoy nae.