KING'AMUZI CHA AZAM TV - Arnold Kayanda
Tuesday

Hiki ndicho King'amuzi cha Azam Tv. Ukilipia 95,000/- Utakipata hiki na Dish lake pamoja na kufungiwa mitambo hii nyumbani kwako. Katikati ya Mwezi November Azam Tv itaanza kurusha Matangazo yake na kwa kuanzia utaona Channel zipatazo 35 bure na kisha malipo ya shilingi 12,500 yatakuwezesha kuona Channel zaidi ya 50. What more can i say...