MBADALA WA MAFUTA UNAKUJA - Arnold Kayanda
Tuesday

Kampuni kutoka nchini China inakusudia kuwekeza nchini Tanzania kwa kutengeneza Betri za Gari za kuchaji ambazo zitatumika kwenye Magari badala ya Mafuta. Tarifa zaidi za Kampuni hii tutakuletea kadri tutakavyozipata.

Swali ni Je! Iwapo Lita moja ya Petrol hutumika angalau kwa wastani wa Kilomita nane na lita hiyo huuzwa kwa Shiligi 2000 na zaidi kidogo,Betri hiyo itachajiwa kwa shilingi ngapi na itatumika kwa muda gani? Tusubiri.