Benki ya Dunia katika ripoti yake inasema kuwa Rwanda ni miongoni mwa nchi zilizoboresha Sheria zake na kuondoa vikwazo vya biashara ili kuruhusu mazingira mazuri ya Kibiashara. Picha hiyo ya juu ni namna viongozi wa Rwanda wanavyodhani Jiji la Kigali litakuwa miaka ya hivi karibuni na tayari wameanza harakati za kufika hapo.
Home
»
»Unlabelled
» RWANDA MIONGONI MWA NCHI TATU DUNIANI ZILIZOWEKA MAZINGIRA MAZURI YA KIBIASHARA
Tuesday