SONKO - Arnold Kayanda
Thursday

Seneta kijana wa Nairobi Mike Gideon Kioko Mbuvi almaarufu kama Sonko amezua kizaazaa tena nchini Kenya baada ya Mitandao ya Kijamii kusambaza Picha chafu zinazomwonyesha akiwa Kitandani na Mwakilishi wa wanawake Rachel Shebesh ambaye pia ni Mke wa Mtu achilia mbali Sonko mwenyewe pia kuwa mume wa mtu.