TUNAI-DEDICATE PICHA HII KWA NYERERE DAY - Arnold Kayanda
Monday

Muuguzi huyu wa Kike Rhoda Joseph Michael na mwenzie Daktari Makori Josephat Maro wa Hospitali ya Wilaya ya Kwimba wakipongezwa na Rais kwa kitendo chao cha kumuokoa Mama aliyekuwa anajifungua akaishiwa Damu ndugu zake wakakosa Damu ya kufanana hivo hawa wawili kwa haraka wakajitolea Damu yao na kisha kumsaidia kujifungua.