HAWA NI BAADHI YA MARAIS WALIOKUWEPO AFRICA KUSINI Hizi picha hapa chini ni baadhi ya Marais waliofika South Africa kwenye Ibada ya kumuaga Ndugu Mzee Rais Hayati Nelson Madiba Mandera Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na maraisi wengine akiwemo na Obama Source www.millardayo.com