Unaambiwa wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha gari lake jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda kufanya show,
zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo wa Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko
mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya
jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time
yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na
ngazi za kupandia jukwaani.
Home
»
»Unlabelled
» PREZO NA JAGUAR WAZIDI KUONYESHANA UBABE NANI MKALI ZAIDI
Saturday