UJUMBE ALIOUANDIKA JACK CLIFF KWA MARTIN KADINDA - Arnold Kayanda
Saturday

Kupitia Personal message ya BBM aliyoiandika mwana dada Jackie Cliff inayosema ikitokea nimekufa
Martin Kadinda ana maagizo ya nini cha kufanya....Dnt ask pls" Inasemekana kuwa kama mrembo huyo atashindwa kujikwamua ktk hilo basi, Rafiki yake wa karibu ana maagizo yote ya nini cha kufanya