DIVA LOVENESS AFUNGUKA KUHUSU 2015 - Arnold Kayanda
Friday

 Huu ndo ujumbe aliouandika Diva wa ala za roho Clauds Fm kwenye account ya ya instagram akizungumzia kuhusu kugombea Ubunge 2015


"Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayotuzunguka yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is Good,i need all strength and i got the big support in this from my close friend,solidarity madaraka kwa umma."
Source:www.millardayo.com