Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.Arnold Kayanda blog tunatoa pole kwa familia ya marehemu Kenneth.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi, Amina.