MAN UTD KAMA KAWAIDA YAO, WALALA 2-1 KWA STOKE CITY - Arnold Kayanda
Saturday

 BAO: Charlie Adam (kushoto) akiifungia Stoke bao la pili dhidi ya Man Utd. Kulia ni Wyne Rooney.

 Kocha wa Man Utd, David Moyes akiwa na machungu baada ya timu yake kupigwa huku wachezaji wake Jonny Evans na Phil Jones wakiumia ambapo Jones alikimbizwa hospitali.
Robin van Persie (20) akishangilia na wenzake wa Man Utd baada ya kuifungia bao la kusawazisha dakika ya 47 ya mchezo.
Kocha wa Stoke City, Mark Hughes akimpongeza mchezaji wake Charlie Adam baada ya kuishushia kipigo Man Utd.