Jay Z Na Beyonce Walivyokutana Na Prince William Na mke wake Kate Middleton. - Arnold Kayanda
Tuesday


Msanii wa Hip-hop  Jay Z na mke wake Beyonce wamekutana na wanafamilia ya kifalme kwenye mchezo wa  Brooklyn Nets  dhidi ya Cleveland Cavaliers kwenye kiwanja cha Brooklyn Barclays Center jumatatu hii  Wakiwa wamezungukwa na walinzi walikutana na kupeana mikono huku wakipiga picha chache, wimbo wa Beyonce  “Crazy in Love” ulichezwa uwanjani.

Wakati wa mapumziko mafupi Beyoncé na Jay Z walisimama na kwenda kuwasalimia Duke na Duchess wa Cambridge, Prince William na mke wake Kate Middleton.