PROMO YA DAWA YA MENO YA SENSODYNE - Arnold Kayanda
Thursday

Tangu ilipoanzishwa mwaka 1961, Sensodyne® imetambuliwa na Madaktari wa Meno Duniani kote. Katika Marekani Madaktari 9 wa meno kati ya 10 wanashauri kuitumia Sensodyne wakati wa kusafisha Meno na Kinywa na pia huleta nafuu kwa watu wenye meno yenye ukakasi kitaalamu sensitive teeth.