Kwa mujibu wa Mwanzilishi wa Samsung Group, maana ya neno Samsung kwa Kikorea ni (三星) maana yake "tristar" au "three stars" au "Nyota tatu. Hizo tatu zinawakilisha "big, numerous na powerful" na hiyo "stars" au Nyota inawakilisha eternity. Samsung ni Kampuni kubwa kiasi ina Mji wake unaofahamika kama Samsung Town.
Home
»
»Unlabelled
» PROMO YA SAMSUNG MP3 PLAYER
Thursday
