Akizunguza na Promo Kwanza Mchambuzi wa Michezo Shaffih Dauda (Katikati ya Ashrey na Nani) amesema kwa kuwa suala la Jina lake kuondolewa katika Uchaguzi limekaa kizengwezengwe na kwa kuwa inaonekana hapa haki yake inaminywa huenda akalifungia Safari ya Uingereza mapema mwezi huu ili kulifikisha mamlaka za juu za Soka Duniani.
Home
»
»Unlabelled
» SHAFFIH DAUDA BAADA YA KUONDOLEWA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA UCHAGUZI TFF ANASEMAJE?
Friday